Zile story za zamani.. jini mrefu kaonekana bondeni ana kanzu nyeupe zimeishia wapi???

Zile story za zamani.. jini mrefu kaonekana bondeni ana kanzu nyeupe zimeishia wapi???

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

nakumbuka miaka ya 90 hizi story zilikuwa nyingi sana mitaani..

na wajanja wakapiga sana hela kujifanya waganga...

naona teknolojia imewaumbua...

waganga wa kienyeji mjiandae kufika 2030 hamtapata mteja hata mmoja watu wote watajua ukweli kuwa uchawi haupo ni myth tu
 
Ha haa aisee umenikumbusha mbali sana mtaaan
Kwetu tulikua tunatoka nyumban 5 asubuh kwenda shamba kuna
Mahaali.mkifka mnakutana na jiin dadek refuuuuuuuu kichz
Jeuz aiseeee nmekimbia sana
 
Na wewe unaamini mambo hayo? [emoji15] [emoji15] [emoji115] .
Nafaham kua yapo maana nishashudia mengi zaidi ya hayo.
Ushakimbizwa na ng'ombe wa mguu mmoja
 
Ha haa aisee umenikumbusha mbali sana mtaaan
Kwetu tulikua tunatoka nyumban 5 asubuh kwenda shamba kuna
Mahaali.mkifka mnakutana na jiin dadek refuuuuuuuu kichz
Jeuz aiseeee nmekimbia sana
Sio kweli.
 
Nafaham kua yapo maana nishashudia mengi zaidi ya hayo.
Ushakimbizwa na ng'ombe wa mguu mmoja
Achilia mbali kukimbizwa, hata kuwaona sijawahi, pamoja na kuishi maeneo mbalimbali yenye imani hizo.
 
Back
Top Bottom