mkuu umecomment itu ambacho hujakielewa..kuna msemo unasema ''tafuta takwimu kwanza halafu zitumie kupotosha''
sasa wewe mwenzangu naona umekurupuka tu,huna data halafu unataka kudanganya watu.
KAJIPANGE!!
salaam wana jamvi,
hebu tujikumbushe takribani miaka mitano ivi nyuma, kulikuwa na kampeni kubwa naza nguvu sana za kupinga maambuziki mapya ya VVU,
katika kampeni izo ilikuwa ikitangazwa katika kila watanzania 10 basi wawili mpaka wanne ni waathirika.
ilikuwa inatisha kweli kweli,
ila siku za karibuni , hatusikii tena takwimu za namna hii,
swali : jana takwimu hizi zilikuwa zinapikwa ??
je maambukizi kweli yanashuka ???
Takwimu lazima zipikwe kwakuwa ugonjwa wenyewe ulipikwa na wanaotaka kuuza madawa na kuua watu kwa makusudi.salaam wana jamvi,