Zile transfer za tcu

Zile transfer za tcu

Bado hawajatoa majina hata kwenye web yao hawajaweka kuanzia wik inayokuja wamesema wataweka be patience when waiting...
 
Bado hawajatoa majina hata kwenye web hakun2 wanasema wiki ijayo yatakua tiale be patience on that.,

Asee kk,ahsnt kw kunijuza.maan kidgo nlishaanz kupata presha maan naon siku zinaenda n hakna wanachosema hta..poa,ntakua nasubira
 
tcu bado ila baadhi ya vyuo teyari kama TEKU washaangusha mzigo......
 
Back
Top Bottom