Zileeeeeee enzi zetu

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303


Hapa watu tulisamehe kula na wengine wetu tuliachwa safarini...................I miss these days bana!
 
Hii inanikumbusha mbali sana enzi zile mkishamaliza kuupiga chandimu mnakimbilia bombani na kugombea kunywa maji huku tukivuja jasho na kujaa vumbi..enzi za kuumia vidole kwa madochi unayopiga...dah life was good!
Hapakuwa na messi wala ronaldo..enzi hizo tulikuwa kina mziba,mogela au makumbi juma...nakumbuka nilikuwa ni salum kabunda ninja manake beki alikuwa hasifiwi nilikuwa naosha sana manake control sikuwa nazo sana na nilikuwa nafungisha sana nikitia mbwembwe so kuosha ndio ilkuwa zangu popote bora liende...teh teh teh!!!!!
 
Umenipoza machungu ya kufungwa na yeboyebo, enzi hizo nilikuwa kipa wa kukodiwa watu walikuwa wananiita mtoto wa jini. Ilikuwa dingi akizubaa hakuti soks kwenye viatu,mpira huo tulikuwa tunauita KINIENGO!!
 
good old dayz...damn it man..!
Maisha bwana....napata simanzi nikikumbuka maisha haya..!!
Ilikuwa shangwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…