Ilikuwa ni vigumu sana kuzisikia nyimbo hizi kwenye minuso na kutopandisha midadi ya kutaka kujimwagamwaga uwanjani nawe ukaonyeshe ufundi wako wa kusakata rumba. Inanikumbusha Tanzania njema kabla haijavamiwa na mapapa mafisadi.
These songs bring back very good memories. Ilibidi nijimwage mwage 🙂 kukumbuka enzi hizoooo nyimbo hizi zilipotamba sana katika Bara letu na si ajabu duniani kote. Kwenye minuso ya kila aina zikiwemo Harusi ilikuwa ni lazima nyimbo hizi zipigwe.