Zilipendwa katika ujenzi

NetworkEngineer

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
1,952
Reaction score
1,181
Kuna vitu ambavyo zamani kidogo vilikuwa vinafanyika katika ujenzi na sasa hivi vimeonekana ni vya kizamani na wengi hawavifanyi tena mfano

1. Kidirisha kidogo kutoka jikoni kwenda Dinning cha kupitishia chakula

2. Kupiga Chupping

3. Garage kujengwa pamoja na nyumba, zamani ilikuwa kawaida mtu akijenga, ramani yake lazima aweke na sehemu ya kulifungia gari ila siku hizi hata wanaojenga nyumba kubwa za kifahari hawaweki garage.

4. Dali za mbao

5. Kutumia Flat bar kwenye Grills za madirisha..siku hizi wengi wanatumia square pipe dirisha zima au round pipe.

5. Mapaa yaliyorefuka sana yanapendwa ila naona kama nayo yanaanza kukosa mvuto

6. Mikanda ya maua maua kuzunguka dali za gypsum na lile ua la katikati

7.

8.

9.
 
Paa refu ndio ime hit sasa hivi. Na hii Ma engineer wanakwambia Ni French style. Paa pa Mlalao ni British style ya kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…