Zilipendwa katika ujenzi

Gereji bado zinajengwa ni vile tu zinakuwa designed vizuri na unakuta haziwekewi mageti ya kufunga na kufungua, imekua Kama car shade iliyounganishwa na nyumba
Unakuta mtu kajenga nyumba kali, ila kapaki gari uwanjani mbele ya nyumba!
 
Ukiacha mambo ya fasheni
Dari ya mbao ni imara kuliko hizo gypsum
chuping ni imara kuliko hizo skiming
Flat bar zikiwa na thickness kubwa ni nzuri kiusalama na kwa suala la mwanga kuingia mwingi
Nimeamua kupiga chuping baada ya kufuatilia majengo kadhaa na kuona yalivyo imara na bila rangi kufubaa. Skimming ni gharama na inadumu muda mfupi tu unarudia rangi. Hapa nitatafuta fundi mzuri apige chuping ndogo (anakaa kwa mbali na ukuta).
 
Attachments

  • IMG_20230105_131437_1.jpg
    922.7 KB · Views: 58
Nimeamua kupiga chuping baada ya kufuatilia majengo kadhaa na kuona yalivyo imara na bila rangi kufubaa. Skimming ni gharama na inadumu muda mfupi tu unarudia rangi. Hapa nitatafuta fundi mzuri apige chuping ndogo (anakaa kwa mbali na ukuta).
👍🤜🤛
 
Paa refu ndio ime hit sasa hivi. Na hii Ma engineer wanakwambia Ni French style. Paa pa Mlalao ni British style ya kizamani
Wa British ni watu wa budget sana. Nyumba ikiwa refu inazidi gharama

Wako very traditional kwenye architecture, hawabadiliki kirahisi sana.

Nyumba refu inaruhusu baridi ipenye kirahisi. Inakubidi utumie gharama kubwa kufanya insulation!
 
Hakuna nyumba ya kisasa ambayo inatumia frame za mbao kwanza hata upatikanaji wa mbao nzuri na imara ni wa shida, mbao za sasa nyingi ni za mashambani.
Hoteli nyingi za Zanzibar wanatumia madirisha ya mbao tena yana pendeza sana ata milango yao ya mbao mizuri mno
 
HATA NGUO FASHIONS ZINAENDA ZINARUDI ACHA USHAMBA
 
Tarazo, kitambo sana sijaona nyumba ndani imewekwa tarazo
 
Tulipofikia hata wakinawa mavi yapo pale pale mtu kabandika mikucha 3cm anachokinawa nini? Lipe kijiko tu hakuna linachokinawa mikucha Ina accumulation ya H. pylori wa week zaidi ya mbili yaani umpe sanitizer apake then aanze kufakamia
Aisee!;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…