Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wakuu mwenye wimbo ule wa Magereza Jazz "Ashura" auweke hapa tafadhali.
Chezimba band katika ubora wao...Kama huamini nenda mombasa au unguja kama huamini wee nenda mombasa au unguja kijogolo sina nyumba wee ntajenga barabarani ntajenga nyumba ya mawe ooh gorofa ndani kwa ndani, ushaona manuari wee ikipita barabarani
kuna wimbo una maneno kama sijasahau... wanaimba wanasema
"judy eeeehh eehh nikupe nini uridhike ,judy eeh chakukupa sina mama eehh...
ufukara nilio nao..ufukara umekuwa kashfa ya mapenzi yangu...
nlizunguka dunia nzima kukupenda....
sijui waliimba akina nani na unaitwaje au nani anao