Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
- Thread starter
-
- #441
Ni wimbo wa Julie...Uliimbwa na Washirika Tanzania Stars Band... Watu njatanjatakuna wimbo una maneno kama sijasahau... wanaimba wanasema "judy eeeehh eehh nikupe nini uridhike ,judy eeh chakukupa sina mama eehh... ufukara nilio nao..ufukara umekuwa kashfa ya mapenzi yangu...nlizunguka dunia nzima kukupenda....sijui waliimba akina nani na unaitwaje au nani anao
Karibu mkuu...Balantanda we mkali sana. duh.. hapa najisikia moyoni kumepoa vizuri sana. hii thread ilipaswa iwe sticky why @mods halioni hili? na watu kama bantalanda walipaswa kupewa nishani za utumishi uliotukuka
Mpenzi Luta nasikitika sheriee...yo yo yoo kuishi tena na wewe,mama yoo vituko vyako vimezidi,vimenichosha oh,mupenzi,nashindwa hata la kufanya,nilikuwa nikikuonya,hukutaka kunisikia najuta ooh ooh ooh..kuishi nawe masikini mie mamaa,kwa kweli sina raha.......... Kiranga hivi yule bwana aliyekuwaga pale ghorofa ya akina captain Aziz Mindu street opposite na Shamo alikuwa mwanamuziki gani?ni Kasongo au?
nimemkumbuka.Anaitwa Tshimanga Kalala Assosa!yule mzee anazeeka mwili sauti bado ya mtoto wa shule ya vidudu ha ha haa.Sijui siku hizi kajifunza kuvaa vizuri suruali?alikuwa anazivalia kifuani halafu anapenda kweli kumung'unya pipi.Watoto wakimuomba "mzee Asosa tupe pipi basi" anawaambia "ukuje kubeba iko mufukoni", inabidi usimamie vidole manake mifuko iko makwapani daah!.Ile Maquis ilikuwa balaa huku Nguza kule...daah!
Ana ngoma yake ya kuitwa Baba Wile...dah ni balaa
Balantanda
hebu fanya uungwana wa Nyimbo hizi wallah...
Msondo - shida mpaka lini
msondo - ashibae.
View attachment 274592
Ebu ongezea maneno kwenye SHIDA MPAKA LINI niweze kutambua ni wimbo gani wa Msondo.