St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
hii thread nzuri sio kila wakati mgao wa umeme na kashfa za serikali tunalala tumechoka utadhani adhabu. Leteni mingoma wanajamii
Dah kuna huu wa Hiba nao mzuri kweli
mmmhh asante sana Paka
mie kweli napenda zilizopendwa na paka...
mmmhh asante sana Paka
mie kweli napenda zilizopendwa na paka...
Nashukuru mama ngoja nikutafutie wa kwako.
hapa kulikuaga na forum ya zilipendwa sasa sijui mamod wameipeleka wapi tulikua tunajiriwaza na zilipendwa