MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Mkuu mbona hatushtuani? Karibu kundini....
Duh PM umenikumbusha mbali.......... enzi zile MJ1 natesa na afro na pekosi lol mtoto nawaka ka mbalamwezi watu hawanywi maji yakateremka ah........kweli ujana maji ya moto, yakipoa yamepoa loh..............

Ahsante sana waheshimiwa ila naomba msikilize wimbo wa Muhidin Gurumo wa Usia kwa Watoto aliye nao auweke hapa. Na mimi naahidi kuutafuta niuweke
Asante kwa ukaribisho mkuu,nimepata utakatifu kwa wakati maalum na kwa sababu maalum.
Mmmm PM natamani kujua sababu maalumu/wakati maalumu.
Isije kuwa ndo kibuti kinaandaliwa hivi hivi.
Pamoja mkuu nakutafutia.
Haya mama huo hapo kamata userebuke nao.