Zilipendwa

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Nikufuge ndege gani awe wangu kila ndege nimefuga kanitoroka....
 
tafadhali assist download of following tracks, eg. Twende kanisani tumuombe mola atupe amani... , and Nikufuge ndege gani awe wangu kila ndege nimefuga kantoroka...
 
These music are fabulous, can I get help to get them downloaded?
 
Ahsanteni sana uongozi wote wa Jamii forum, wapenzi na washiriki wa jamii forum kwa kazi na muziki wa zilipendwa ambao umepengiliwa vema na hakika unanikumbusha nyakati tofauti za maisha yangu nilimopitia hadi leo nipo hapa
 
Africa liberte nakumbuka ilipigwa na Franklin Boukaka na siyo Manu Dibango.otherwise collection ya zilipendwa ni nzuri sana
 
Jamani inakuwaje hadi mtu aweze kusikia hizi zilipendwa? Naomba msaada tafadhali!
 
kama wangeongeza nyimbo za OSS na Marquize ile ya Tanzania, pamoja na Tancut Almas, roho yangu ingesuuzika.
 
Tafadhali wekeni mosese ya mosesengo fun fun akiwa na makassy orch, nyimbo za ddc mlimani park ongezeni, dr remmy ongala kuna wimbo flani bomba una maneno yanasema harusi yangu ilifanyika mwanza
 
dah! hizi nyimbo zimenikuna sana, sasa nazipataje jamani wadau? msaada pls
 
Hazipatikani nitendeje wakuu ili mate yasinikauke
 
Hii kitu mbona iko nyeupe? Imefungwa au imekufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…