Huko zilipendwa ya JF kuna vibao moto moto vya kutoka Tanzania na nchi mbali mbali duniani. Yaani unapata you 'daily dose ya JF'...🙂 na wakati huo huo unaburudika kwa vibao moto moto. Wacha tuwe addicted na JF...🙂 Naburudika na kibao All we need in Africa kilichopangwa vizuri sana na mwimbaji toka SA.