"zilipotokea na zinapokwenda" pana utofauti ?

Mtemi Eno

Member
Joined
Jul 10, 2023
Posts
37
Reaction score
148
Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa.

ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda"

ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
 
Zilizoingia
Zilizotoka
 
Back
Top Bottom