Mtemi Eno Member Joined Jul 10, 2023 Posts 37 Reaction score 148 Jul 12, 2023 #1 Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa. ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda" ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa. ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda" ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
Mtemi Eno Member Joined Jul 10, 2023 Posts 37 Reaction score 148 Jul 12, 2023 Thread starter #2 Love Doctor Idd Ninga Mwl.RCT
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Jul 23, 2023 #3 Mtemi Eno said: Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa. ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda" ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri Click to expand... Zilizoingia Zilizotoka
Mtemi Eno said: Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa. ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda" ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri Click to expand... Zilizoingia Zilizotoka