msanii anakaa kimya mwaka halafu ana kuja kutoa jimbo bovu sijui seduce me halafu kuna watu wanausifia kabisa
WANAWAITA ROYAL FANS WA KIBA KIPUSA HATA ATOE UOZO WAO WAPO NAYE TU KAMA NYUMBUmsanii anakaa kimya mwaka halafu ana kuja kutoa jimbo bovu sijui seduce me halafu kuna watu wanausifia kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
LOYALWANAWAITA ROYAL FANS WA KIBA KIPUSA HATA ATOE UOZO WAO WAPO NAYE TU KAMA NYUMBU
Kweli hata mimi nashangazwa na hili jambo yani mtu anatoa wimbo wa hovyo na video ya hovyo kiasi kile bado ana sifiwa kwakweli kuna kiwango kikubwa cha ulofa na upumbavu nchini.msanii anakaa kimya mwaka halafu ana kuja kutoa jimbo bovu sijui seduce me halafu kuna watu wanausifia kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka uenjoy huo wimbo play kwenye sabufa,utauelewa na kuupenda,lkn ukiusikiliza kwenye headphone zako unajinyima raha! First time hata Mimi nilijua katoa boko kwa sababu niliuplay kwenye simu yangu nikiwa job,niliporudi home nikauplay kwenye sabufa,ndipo nilipoanza kuuelewa na kuufurahia.msanii anakaa kimya mwaka halafu ana kuja kutoa jimbo bovu sijui seduce me halafu kuna watu wanausifia kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dablisibiii mmetema boko dadeeeeekmsanii anakaa kimya mwaka halafu ana kuja kutoa jimbo bovu sijui seduce me halafu kuna watu wanausifia kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hataki kukubali kama enzi yake imepita.msanii anakaa kimya mwaka halafu ana kuja kutoa jimbo bovu sijui seduce me halafu kuna watu wanausifia kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa kijanaa Aslay yuko vizuri Katika utungaji shuting n'a vidéo kwa ujumlaMa bibi na bwana nawalika kuja kuangalia video ya mziki mzuri na mtamu toka Asley uitwao Pusha. Hii ndo bongo fleva kuanzia uimbaji hadi beat.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usanii wa muziki na nchi vinautofauti usiviweke pamojaKweli hata mimi nashangazwa na hili jambo yani mtu anatoa wimbo wa hovyo na video ya hovyo kiasi kile bado ana sifiwa kwakweli kuna kiwango kikubwa cha ulofa na upumbavu nchini.