"zima moto"

"zima moto"

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
"zima moto"

Serikali inatunga sera za elimu za "zima moto"
inazitekeleza ki "zima moto"

walimu wanafundisha "zima moto"
maana madai yao yanatimizwa ki "zima moto"
hawana ari wanafundisha "zima moto"

wanafunzi wanasoma "zima moto"
hadi siku za mitihani ndio wasome "zima moto"
wanakua wamechelewa ku "zima moto"

jamii inachagua viongozi ki "zima moto"
wanawaongoza kwa "zima moto"
jamii inawawajibisha ki "zima moto"
katika kutaka ku "zima moto"
 
Back
Top Bottom