Zimbabwe Arms: China & SA Will Have Blood On Their Hands!

Na CCM kuing'oa hapa TZ itakuwa kazi kweli kweli, si kwa sababu eti napendwa bali mizizi ya ufisadi haitakuwa tayari kung'olewa.

ZANU PF inaplay politics za miaka ya 60 - Colonialists, imperialists, the west etc. ndio maneno maarufu kwenye kitabu chao
 
I would trully have loved to critique Mugabe and his buddies on what is going-on in Zim. But the Zim issue had too much of British and other whites interests than those of Zimbabweans. Then, when a politicaly serious issue like arming of Zim, is revealed by a White (Boars) controled newspaper, BEELD, it instantly smoothen any ungry words that I would have otherwise directed to Mugabe. Let the Zimbabweans settle their issues on themselves.
 
Waafrika bado tuna safari ndefu ya kutenganisha utawala wetu wa kitamaduni na huu utwala wa demokrasia ya kuiga kutoka magharibi.

Baada ya nchi nyingi za kiafrika kuwa huru nyingi zilikaa na chama kimoja kwa muda meefu na hapa nafikiri kanidhamu kalikuwapo. Lakini tatizo la utawala wa namna hii ni kwamba kunakuwepo kupweteka na kujisahau kwamba kiongozi hapaswi kuwa mtawala wa kiimla.

MUGABE, GADDAFI, MUSEVENI NA KWETU HAPA CCM mambo ni kama hayo.

Sintashangaa kusikia hii meli inatia namnga Mtwara na mzigo kushushwa juju kwa juu na kupelekwa Zimbabwe, yanayomkuta Mugambe yanaweza kuikuta CCM, they'll simply be scratching their backs just for the sake of being scratched later....
 
Rais Thabo Mbeki kapigwa kofi shavuni baada ya chama chake cha ANC kushtukia Double Standard kwa ZANU-PF. Rais wa chama cha MDC M. Tsvangirai aliwahi kuonyesha wasiwasi kwa Bw. Mbeki jinsi anavyoegemea upande mmoja na kudai hauna Crisis in Zimbabwe. Hata hivyo ukweli ulidhihirika pale Bw. Mbeki alipoondoa hoja ya Zimbabwe kwenye Mkutano wa Baraza la Usalama la UN huku nchi yake ikiwa ndiye Rais wa Baraza hilo.
Hata hivyo baada ya kuona viongozi wengi wakimshangaa kwa madai yake "No Crisis in Zimbabwe" Thabo Mbeki kwa niaba ya nchi yake aliweza kubadili msimamo wake na kudai There's Crisis in Zimbabwe.
Kulingana na uegemezi wake upande mmoja (Kwa Mugabe), chama chake cha ANC hakina imani na mediation yake btn Mugabe na Tsvangirai. Kwa habari zaidi soma hapo chini..........


Zimbabwe: ANC Steps In
Wally Mbhele, Moipone Malefane and Dominic Mahlangu Published:Apr 20, 2008

--------------------------------------------------------------------------------

Source: The Times (South Africa)
 
Arms Arrive in Zimbabwe, Report


The Zimbabwe Guardian (London)

NEWS
17 May 2008
Posted to the web 17 May 2008

By Floyd Nkomo


WEAPONS destined for Zimbabwe have arrived in Harare, according to a report in South Africa's The Weekender newspaper today.
The report said the Zimbabwean government confirmed that 3-million rounds of assault rifle ammunition, 3 000 mortar rounds and 1 500 rocket-propelled grenades--ordered from the Chinese government--had arrived in Harare.

According to the report South Africa refuelled the Chinese vessel, An Yue Jiang, which was transporting the arsenal.
The South African government denied media reports that it assisted in the delivery of the arms.
The Weekender quoted a Mozambican online newspaper, Canal de Moçambique, which reported that the ship had been refuelled by the SAS Drakensberg off the coast of South Africa before sailing north to offload its cargo.
It reported that the ship was offloaded at Ponta Negra in the Democratic Republic of Congo.
However, Zimbabwean government officials said it was offloaded in Angola, according to the report.
Canal de Moçambique reported that President Thabo Mbeki gave "a direct instruction" to Deputy Defence Minister Mluleki George to send the SAS Drakensberg to refuel the An Yue Jiang.
Presidential spokesman Mukoni Ratshitanga dismissed the reports, saying "it seems that the season of propaganda is upon us".
George said he had no instruction from Mbeki to dispatch the SAS Drakensberg and that the allegations had no substance.
However, the Canal de Moçambique article also said the arms were flown to Harare in an Ilyushin Il-76 belonging to Avient Aviation, a freight charter airline based in Zimbabwe but registered in the UK.
This was confirmed by government officials in Harare, The Weekender said.
Zimbabwe's Deputy Information Minister Bright Matonga confirmed the weapons have been delivered.
The Angolan government's assistance came after an appeal by the Southern African Development Community (SADC) chairman, Zambian President Levy Mwanawasa, to member states to bar the delivery of the ammunition to Zimbabwe, saying the arms could deepen the country's election crisis.
The US and British governments had also exerted concerted pressure on the SADC and China to stop the ship from docking in the region.
The ship has been spotted off the coast of Port Elizabeth, The Weekender said.



Copyright © 2008 The Zimbabwe Guardian. All rights reserved. Distributed by AllAfrica Global Media (allAfrica.com).



http://allafrica.com/stories/200805170189.html
 
Hii habari ipo hapa tangu jana kwenye thread nyingine.....(Our relationship with Zimbabwe)
 
However, the Canal de Moçambique article also said the arms were flown to Harare in an Ilyushin Il-76 belonging to Avient Aviation, a freight charter airline based in Zimbabwe but registered in the UK.

Yes naya. Hapa ndio utajua akili na upumbavu wa mwafrika na ushirikiano wa nanihiii.......
 


Asante Lunyungu,

Habari hii ni mbaya sana kwa demokrasia ya Zimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…