Kabisa.Upuuzi mtupu, ingekuwa ni hivyo Marekani wasingepiga hatua katika maendeleo na Uganda ingekuwa na maendeleo kuliko nchi yoyote duniani.
Kamuibia nani na tupe ushahidi.marekani mwizi
Habari ya venezuela umeisikia mkuu?Kamuibia nani na tupe ushahidi.
Nimeisikia lakini sijasikia kwamba wameibiwa chochote.Habari ya venezuela umeisikia mkuu?
sawa mkuuNimeisikia lakini sijasikia kwamba wameibiwa chochote.