Zimbabwe vs. Brazil match grossed US$ 600 000

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335
Zimbabwe vs. Brazil match grossed US$ 600 000
 
Same African stupidity..Haya ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji..

Initial deficit is more than 50 %..Wajinga ndio waliwao.
 
Dah................kazi kweli kweli jamani......
 
Ona sasa....Wenzetu Zimbabwe angalau wameondokana na tamaa...wao kiingilio cha juu(kwa VVIP) kilikuwa $60 lakini kwa watanzania ni zaidi ya $150........Huu ni wizi na unyonyaji mtupu
 
Ninachojua mfumo uliotumika Zimbabwe kuuza hizi tiket hauna tofauti saaaaana na wa hapa kwetu. Nahisi matokeo huenda yakawa sawa au yakazidiana kiduuuuuchu!
 
kwani walitumia gharama kiasi gani kuwapeleka brazil zimbabwe?
 
Isome vizuri post namba moja utaona ni kiasi gani kimetumika kuwapeleka Brazil Zimbabwe


nimeisoma mkuu lakini hiikitu silikua kuitangaza nchi zaidi kuliko kuingiza faida nadhani na ndio maana hikusimamiwa na FA yao ilisimamiwa na ZIMBABWE TOURISM AUTHORITY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…