Zimbabwe yaanza kuwalipia fidia wazungu waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Serikali ya Zimbabwe itawalipia malipo ya awali wazungu waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara hivi karibuni, kama fidia ya kuchukuliwa ardhi zao katika mageuzi ya ardhi.
Tume maalum inayohusisha maofisa wa serikali na wawakilishi wa wazungu hao inafanya tathmini ya mashamba hayo ili kujua kiasi cha fidia itakayolipwa.

Wakati huohuo, Chama cha Wakulima wa Kibiashara na Tume ya Fidia wanaendelea na mchakato wa kutambua na kuwasajili waliokuwa wamiliki wa mashamba wanaotaka kushiriki kwenye mpango wa muda wa malipo ya awali.

Habari zinasema, malipo hayo yatatolewa tu kwa wakulima wa zamani wanaokabiliwa na hali mbaya ya kifedha.
 
Mbona kipindi kile walitamba kuwa wao wasingeweza kuwalipa waende serikali ya Uingereza iwalipe.

Hawa jamaa baada ya kuona wamebanwa kila kona na sio China wala Russia mwenye uwezo wa kuwasaidia wanatafuta namna ya kuwafurahisha wazungu.

Ila wamechelewa, itakuwa ni ile story ya "Too little too late". Ukweli ni kuwa hao wanaojaribu kujipendekeza kwao upya, hawana "Interest" na serikali yoyote inayoongozwa na Zanu-PF.
 
Nawawarudishie kabisaa maana hayamei chochote hayo mashamba yamebakia mazalia ya panya tu. Kuna wakubwa wa jeshi walichukuwa shamba nahawakuyafanyia chochote zaidi ya kuyaharibu kabisaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Africa ni bara la ajabu sana ivi hao wazungu sisi wametulipa fidia gani kwa maonevu waliyotutendea?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uorodheshe wewe kama wewe ulipata maonevu yapi toka kwa wazungu? Wenzio unaowahurumia, walikuwa wanapata ajira, wanasomesha watoto wao, wanakula wanashiba, walikuwa vibarua waliokuwa na mahali pa kulala. Nchi ilikuwa basket of Africa, Wazimbabwe walikuwa hawaendi kuomba kazi S.A sasa hivi ndo manamba na wanauawa na waafrika wenzio. Wewe kama mtanzania nitajie ulivyonyanyaswa na kuonewa na hao wakoloni waliokujengea shule ambazo ndizo bado zina hadhi zaidi ya zile tulizojenga sisi kwa kujidai?

Nasubiri majibu yako sababu tunapoongelea uonevu tunaoverlook na mazuri. Zimbabwe Mugabe aliua maelfu ya watu ambao walikuwa makabila yanayompinga. Yawezekana aliua watu zaidi ya Ian Smith.
 
Maana yangu niambie kuwa Kama wameshindwa kuyaendesha bora wangewarudishia bure ili kuokoa Uchumi kama sio kuufufu na si kuwafinance as fidia.

Waherero mpaka Leo Bado madai yao ya fidia yanafikiriwa huko ujerman inakuwaje Waherero haohao wawe kimbelembele kumfidia Mzungu?

Pamoja na upole Wetu ktk kutafuta maendeleo mm naamini bila wakoloni kuja kutuharibu akili, familia(kill&slave), na kuiba malighafi zetu tungekuwa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli kabisa
Maana yangu niambie kuwa Kama wameshindwa kuyaendesha bora wangewarudishia bure ili kuokoa Uchumi kama sio kuufufu na si kuwafinance as fidia.

Waherero mpaka Leo Bado madai yao ya fidia yanafikiriwa huko ujerman inakuwaje Waherero haohao wawe kimbelembele kumfidia Mzungu?

Pamoja na upole Wetu ktk kutafuta maendeleo mm naamini bila wakoloni kuja kutuharibu akili, familia(kill&slave), na kuiba malighafi zetu tungekuwa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Zimbabwe itawalipia malipo ya awali wazungu waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara hivi karibuni, kama fidia ya kuchukuliwa ardhi zao katika mageuzi ya ardhi.
Tume maalum inayohusisha maofisa wa serikali na wawakilishi wa wazungu hao inafanya tathmini ya mashamba hayo ili kujua kiasi cha fidia itakayolipwa.

Wakati huohuo, Chama cha Wakulima wa Kibiashara na Tume ya Fidia wanaendelea na mchakato wa kutambua na kuwasajili waliokuwa wamiliki wa mashamba wanaotaka kushiriki kwenye mpango wa muda wa malipo ya awali.

Habari zinasema, malipo hayo yatatolewa tu kwa wakulima wa zamani wanaokabiliwa na hali mbaya ya kifedha.
Hasara ya kukurupuka hiyo
 
Serikali ya Zimbabwe itawalipia malipo ya awali wazungu waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara hivi karibuni, kama fidia ya kuchukuliwa ardhi zao katika mageuzi ya ardhi.
Tume maalum inayohusisha maofisa wa serikali na wawakilishi wa wazungu hao inafanya tathmini ya mashamba hayo ili kujua kiasi cha fidia itakayolipwa.

Wakati huohuo, Chama cha Wakulima wa Kibiashara na Tume ya Fidia wanaendelea na mchakato wa kutambua na kuwasajili waliokuwa wamiliki wa mashamba wanaotaka kushiriki kwenye mpango wa muda wa malipo ya awali.

Habari zinasema, malipo hayo yatatolewa tu kwa wakulima wa zamani wanaokabiliwa na hali mbaya ya kifedha.

Naomba uorodheshe wewe kama wewe ulipata maonevu yapi toka kwa wazungu? Wenzio unaowahurumia, walikuwa wanapata ajira, wanasomesha watoto wao, wanakula wanashiba, walikuwa vibarua waliokuwa na mahali pa kulala. Nchi ilikuwa basket of Africa, Wazimbabwe walikuwa hawaendi kuomba kazi S.A sasa hivi ndo manamba na wanauawa na waafrika wenzio. Wewe kama mtanzania nitajie ulivyonyanyaswa na kuonewa na hao wakoloni waliokujengea shule ambazo ndizo bado zina hadhi zaidi ya zile tulizojenga sisi kwa kujidai?

Nasubiri majibu yako sababu tunapoongelea uonevu tunaoverlook na mazuri. Zimbabwe Mugabe aliua maelfu ya watu ambao walikuwa makabila yanayompinga. Yawezekana aliua watu zaidi ya Ian Smith.

Nawawarudishie kabisaa maana hayamei chochote hayo mashamba yamebakia mazalia ya panya tu. Kuna wakubwa wa jeshi walichukuwa shamba nahawakuyafanyia chochote zaidi ya kuyaharibu kabisaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona kipindi kile walitamba kuwa wao wasingeweza kuwalipa waende serikali ya Uingereza iwalipe.

Hawa jamaa baada ya kuona wamebanwa kila kona na sio China wala Russia mwenye uwezo wa kuwasaidia wanatafuta namna ya kuwafurahisha wazungu.

Ila wamechelewa, itakuwa ni ile story ya "Too little too late". Ukweli ni kuwa hao wanaojaribu kujipendekeza kwao upya, hawana "Interest" na serikali yoyote inayoongozwa na Zanu-PF.

Kick za Uzalendo za Mugabe ndio inaipa hasara Nchi kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

"Let us all agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.

Mugabe alikosea kutekeleza jambo hili la kutwaa Ardhi ya Wazungu. Aliongozwa na Mihemko, Tamaa na Chuki binafsi dhidi ya Wazungu licha ya kujua kwamba Watu weusi waliopo katika nchi hiyo hawakuwa na uwezo wa kuitumia vizuri Ardhi hiyo.

Mathalani, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe wakati huo alipokuwa anawapokonya Ardhi raia Wazungu kwenye nchi hiyo alikuja na Sera yake iliyokuwa ikisema kwamba Mtu mmoja anapaswa amiliki shamba moja tu na wala siyo zaidi, yaani: "One Man One Farm." Lakini matokeo yake yeye mwenyewe Mugabe alijitwalia na kujigawia Mashamba mengi yapatayo 28 nchi nzima hali iliyosababisha manung'uniko katika jamii na yeye Rais kuingia kwenye migogoro mikubwa na washirika wake wa karibu Sana kwenye Utawala wake kama vile Mwanasheria Mkuu wa Serikali yake na Mkuu wake wa Majesh
 
Tunaendelea kuwatetea wazungu, tunajishusha na kujidharau! Silaumu mtu nachoweza kusema mzungu amefanikiwa sana kutubadilisha kiakili tangu enzi za utumwa hadi sasa tumekuwa kama ng'ombe kwasababu tunalishwa, tunatibiwa n.k tunaona kama mfugaji ana huruma kumbe mwisho wa siku kama sio kukamuliwa maziwa tunachinjwa.

Mugabe alikuwa na nia nzuri ila kwasabsbu wazungu ndio watawala wakamuwekea vikwazo akafeli. Viongozi wengi wa kiafrika wanakutana na vikwazo vingi na miongozo mingi toka kwa wazungu bahati mbaya ni wachache wanaokubali hata kufa kwa munufaa ya nchi zao wengi wanaamua kutusaliti ili kujilinda na wajinga zaidi wanaiba hata kidogo tulichonacho.
 
Back
Top Bottom