Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Nawawarudishie kabisaa maana hayamei chochote hayo mashamba yamebakia mazalia ya panya tu. Kuna wakubwa wa jeshi walichukuwa shamba nahawakuyafanyia chochote zaidi ya kuyaharibu kabisaa.Serikali ya Zimbabwe itawalipia malipo ya awali wazungu waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara hivi karibuni, kama fidia ya kuchukuliwa ardhi zao katika mageuzi ya ardhi.
Tume maalum inayohusisha maofisa wa serikali na wawakilishi wa wazungu hao inafanya tathmini ya mashamba hayo ili kujua kiasi cha fidia itakayolipwa.
Wakati huohuo, Chama cha Wakulima wa Kibiashara na Tume ya Fidia wanaendelea na mchakato wa kutambua na kuwasajili waliokuwa wamiliki wa mashamba wanaotaka kushiriki kwenye mpango wa muda wa malipo ya awali.
Habari zinasema, malipo hayo yatatolewa tu kwa wakulima wa zamani wanaokabiliwa na hali mbaya ya kifedha.
Aya kuhusu bro wezio walikuwa na akili kama yako waliangukia puaAfrica ni bara la ajabu sana ivi hao wazungu sisi wametulipa fidia gani kwa maonevu waliyotutendea?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uorodheshe wewe kama wewe ulipata maonevu yapi toka kwa wazungu? Wenzio unaowahurumia, walikuwa wanapata ajira, wanasomesha watoto wao, wanakula wanashiba, walikuwa vibarua waliokuwa na mahali pa kulala. Nchi ilikuwa basket of Africa, Wazimbabwe walikuwa hawaendi kuomba kazi S.A sasa hivi ndo manamba na wanauawa na waafrika wenzio. Wewe kama mtanzania nitajie ulivyonyanyaswa na kuonewa na hao wakoloni waliokujengea shule ambazo ndizo bado zina hadhi zaidi ya zile tulizojenga sisi kwa kujidai?Africa ni bara la ajabu sana ivi hao wazungu sisi wametulipa fidia gani kwa maonevu waliyotutendea?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yangu niambie kuwa Kama wameshindwa kuyaendesha bora wangewarudishia bure ili kuokoa Uchumi kama sio kuufufu na si kuwafinance as fidia.
Waherero mpaka Leo Bado madai yao ya fidia yanafikiriwa huko ujerman inakuwaje Waherero haohao wawe kimbelembele kumfidia Mzungu?
Pamoja na upole Wetu ktk kutafuta maendeleo mm naamini bila wakoloni kuja kutuharibu akili, familia(kill&slave), na kuiba malighafi zetu tungekuwa mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasara ya kukurupuka hiyoSerikali ya Zimbabwe itawalipia malipo ya awali wazungu waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara hivi karibuni, kama fidia ya kuchukuliwa ardhi zao katika mageuzi ya ardhi.
Tume maalum inayohusisha maofisa wa serikali na wawakilishi wa wazungu hao inafanya tathmini ya mashamba hayo ili kujua kiasi cha fidia itakayolipwa.
Wakati huohuo, Chama cha Wakulima wa Kibiashara na Tume ya Fidia wanaendelea na mchakato wa kutambua na kuwasajili waliokuwa wamiliki wa mashamba wanaotaka kushiriki kwenye mpango wa muda wa malipo ya awali.
Habari zinasema, malipo hayo yatatolewa tu kwa wakulima wa zamani wanaokabiliwa na hali mbaya ya kifedha.
Serikali ya Zimbabwe itawalipia malipo ya awali wazungu waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara hivi karibuni, kama fidia ya kuchukuliwa ardhi zao katika mageuzi ya ardhi.
Tume maalum inayohusisha maofisa wa serikali na wawakilishi wa wazungu hao inafanya tathmini ya mashamba hayo ili kujua kiasi cha fidia itakayolipwa.
Wakati huohuo, Chama cha Wakulima wa Kibiashara na Tume ya Fidia wanaendelea na mchakato wa kutambua na kuwasajili waliokuwa wamiliki wa mashamba wanaotaka kushiriki kwenye mpango wa muda wa malipo ya awali.
Habari zinasema, malipo hayo yatatolewa tu kwa wakulima wa zamani wanaokabiliwa na hali mbaya ya kifedha.
Naomba uorodheshe wewe kama wewe ulipata maonevu yapi toka kwa wazungu? Wenzio unaowahurumia, walikuwa wanapata ajira, wanasomesha watoto wao, wanakula wanashiba, walikuwa vibarua waliokuwa na mahali pa kulala. Nchi ilikuwa basket of Africa, Wazimbabwe walikuwa hawaendi kuomba kazi S.A sasa hivi ndo manamba na wanauawa na waafrika wenzio. Wewe kama mtanzania nitajie ulivyonyanyaswa na kuonewa na hao wakoloni waliokujengea shule ambazo ndizo bado zina hadhi zaidi ya zile tulizojenga sisi kwa kujidai?
Nasubiri majibu yako sababu tunapoongelea uonevu tunaoverlook na mazuri. Zimbabwe Mugabe aliua maelfu ya watu ambao walikuwa makabila yanayompinga. Yawezekana aliua watu zaidi ya Ian Smith.
Nawawarudishie kabisaa maana hayamei chochote hayo mashamba yamebakia mazalia ya panya tu. Kuna wakubwa wa jeshi walichukuwa shamba nahawakuyafanyia chochote zaidi ya kuyaharibu kabisaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kipindi kile walitamba kuwa wao wasingeweza kuwalipa waende serikali ya Uingereza iwalipe.
Hawa jamaa baada ya kuona wamebanwa kila kona na sio China wala Russia mwenye uwezo wa kuwasaidia wanatafuta namna ya kuwafurahisha wazungu.
Ila wamechelewa, itakuwa ni ile story ya "Too little too late". Ukweli ni kuwa hao wanaojaribu kujipendekeza kwao upya, hawana "Interest" na serikali yoyote inayoongozwa na Zanu-PF.
Tunaendelea kuwatetea wazungu, tunajishusha na kujidharau! Silaumu mtu nachoweza kusema mzungu amefanikiwa sana kutubadilisha kiakili tangu enzi za utumwa hadi sasa tumekuwa kama ng'ombe kwasababu tunalishwa, tunatibiwa n.k tunaona kama mfugaji ana huruma kumbe mwisho wa siku kama sio kukamuliwa maziwa tunachinjwa.
Mugabe alikuwa na nia nzuri ila kwasabsbu wazungu ndio watawala wakamuwekea vikwazo akafeli. Viongozi wengi wa kiafrika wanakutana na vikwazo vingi na miongozo mingi toka kwa wazungu bahati mbaya ni wachache wanaokubali hata kufa kwa munufaa ya nchi zao wengi wanaamua kutusaliti ili kujilinda na wajinga zaidi wanaiba hata kidogo tulichonacho.