SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Jamani, Jamani hii YANGA ni balaa jingine ktk Nchi hii ndani ya NBC LEAGUE!
Haya tena Wananchi kama kawaida, ktk kuendeleza kuandika historia nyingine baada ya hii ya kuwakanda watani mara nne mutawalia.
Lini tunaanza kuhesabu unbeaten season two?
Maana naona Gari limewaka.