Mpaka Khomein kapata clean sheet.Kwa sasa tuna project ya kuhesabu cleansheet
Pengine Yanga SC ndo timu pekee kwenye ligi rasmi duniani kushinda clean sheets 8 mfululizo mwanzo wa ligi, namaanisha mfululizo...Jamani, Jamani hii YANGA ni balaa jingine ktk Nchi hii ndani ya NBC LEAGUE!
Haya tena Wananchi kama kawaida, ktk kuendeleza kuandika historia nyingine baada ya hii ya kuwakanda watani mara nne mutawalia.
Lini tunaanza kuhesabu unbeaten season two?
Maana naona Gari limewaka.
Na bado."YANGA BINGWA" - GSM
Ndio mechi yanga iliyofungwa msimu huuHivi mara mtu wa mwisho kutufunga ni nani? Na ilikuwa lini? Kwa haraka haraka anayekuja katika rekodi zangu ni Augsburg. Naye anahesabikaaaa?