Tokea mwaka Jana kumekuwepo na uvumini pamoja matanhazo mbalimbali kwenye vyombo vya habari mengi yakitolewa na Diamond mwenyewe kuwa anatarajia kuguna ndoa na mpenzi wake Mwanadada mrembo Tanasha kutoka nchini Kenya.
Diamond alisikika mara kadhaa akisema kuwa anaisubiri kwa hamu siku hiyo ya tareh7 14 Feb 2019 ili aweze kuchukua jiko na kuwaziba midomo wale wote ambao wamekuwa wakimbakiza kuwa yeye kazi yake ni kuwachezea wanawake tu bila kuwaoa.
Wapo waliosema kuwa Diamond anadanganya na kwamba hiyo tarehe anayosema kuwa atafunga ndoa na Tanasha ni uongo mtupu.
Sasa ngoja tusubiri Kama tarehe 14 Diamond atafanya kweli na hatimaye kukataaza mzizi was fitina bado siku tatu, ya nne ni harusi yenyewe.