Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,443 Reaction score 8,903 Aug 5, 2016 #21 stroke said: Ukawa ni ajabu la nane la dunia Click to expand... Ndiyo hao wanawataka watanzania wote washike UKUTA kama wao. -Kaveli-
stroke said: Ukawa ni ajabu la nane la dunia Click to expand... Ndiyo hao wanawataka watanzania wote washike UKUTA kama wao. -Kaveli-
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,443 Reaction score 8,903 Aug 5, 2016 #22 Natamani sana kusikia kutoka kwa BAK, Je hilo zimwi la Richmond bado linamuandama Mh Low? ama zimwi lilikemewa & kutulizwa kwa upako wa 'gia ya angani' ? Mkuu BAK tupe 'update' . -Kaveli-
Natamani sana kusikia kutoka kwa BAK, Je hilo zimwi la Richmond bado linamuandama Mh Low? ama zimwi lilikemewa & kutulizwa kwa upako wa 'gia ya angani' ? Mkuu BAK tupe 'update' . -Kaveli-