SoC02 Zimwi litujualo sasa linatumaliza

SoC02 Zimwi litujualo sasa linatumaliza

Stories of Change - 2022 Competition
Joined
Oct 22, 2020
Posts
7
Reaction score
9
Magonjwa yasiyo ambukiza ni wimbi ambalo limeendelea kupiga katika kingo ya jamii zetu. Pamoja na kujulikana visababishi vyake kama matumizi ya sigara pombe pamoja na matumizi yasiyo sahihi ya dawa antibiotics bado magonjwa haya yanaendelea kushika kasi

Nini kifanyike. Elimu ya lishe itolewe kwa lika lote ili kupunguza matatizo kama ya shinikizo la damu moyo na kisukari.

Serikali ipige marufuku matumizi ya vyombo vya plastics kama sahani bakuri na vikombe kwani ni polymer na vinachochea kansa yaani carcinogen.

Serikari ipige marufuku kilimo cha tumbaku kwani kina athiri afya ya mtumiaji kwa kusababisha kansa ya mapafu pamoja na kuharibu mazingira.

Serikali iongeze jitihada katika kutokomeza bidhaa bandia kama vipodozi na vyakula visivyofaa ili kuondoa kabisa matatizo ya kansa ya ngozi na utumbo.

Serikali chini ya wizara husika ichunguze maduka ya dawa ambayo yanatoa dawa pasi na ripoti ya daktari na vipimo visivyo sahihi ili kupunguza matatizo ya figo katika jamii.
 
Upvote 2
Back
Top Bottom