Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Zinahitajika Toyota Allion, Porte,Sienta. Bei isizidi Mil 6 namba iwe C haijawah pata Ajali wala kupakwa rangi. isiwe imewah kufunguliwa engine kwa jambo lolote. mdogo wangu amemaliza shule amejiajiri sasa anataka gari ndogo ya kufanyia shughuli zake hapa mjini. naomba kama kuna mtu ana gari hizo nlizotaja au nyingine ambazo ni za cc kuanzia 1200 mpaka 1500 tuwasiliane tafadhari. ile isiwe Vitz old model, isiwe Passo.
bei nasisitiza isizidi Mil 6 hakuna udalali. na pia usilazimishe gari yako kuniuzia Mil 6 sababu ninazijua gari na nina fundi mzuri wa kukagua. so kama ni Mil 4.5 au 5 sema tu mapema wala tusisumbuane.
tuwasiliane INBOX please unitumie picha za gari ndani na nje. na pia fungua bonnet piga picha kwenye engine.