Hapana sina hizi battery
Samahan mkuu, naweza kupata keyboard ya dell inspiron 3520?Vifaa tajwa hapo juu vinauzwa.
Keyboard na Battery za Hp na Hp Compaq Laptop series.
-Used
-Keyboard haina michubuko wala tatizo lolote.
-Battery zinakaa na charge 2hrs na zaidi
Keyboard spare # : 646125-001
Bei Keyboard : 50000/=
Battery spare # : 593553-001
Bei za Battery : 35000/=View attachment 384675 View attachment 384676
Vinapatikana Dar
-0684 14 14 76
Ok, vp zinaweza patikana madukani o?, kwa mwenye kujua upatikanaji wa hizi battery za Hp elitebook 2760p naomba msaada wa maduka gani naweza pata.