Weza Senior Member Joined Oct 24, 2013 Posts 118 Reaction score 76 Oct 29, 2013 #1 Habari zenu wakuu, msaada wenu unahitajika kwa yeyote anaeweza kunisaidia maelekezo ya upatikanaji ya Zinc Dust, nitashukuru sana kwani nahitaji sana kujua ntaipataje kwa dar es salaam na bei yake pia. Natanguliza shukrani
Habari zenu wakuu, msaada wenu unahitajika kwa yeyote anaeweza kunisaidia maelekezo ya upatikanaji ya Zinc Dust, nitashukuru sana kwani nahitaji sana kujua ntaipataje kwa dar es salaam na bei yake pia. Natanguliza shukrani
Weza Senior Member Joined Oct 24, 2013 Posts 118 Reaction score 76 Oct 29, 2013 Thread starter #2 I meant Powder not poweder nilikosea thanx