Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Mkuu yale maswala ya pete vipi? Mpakaleo hujaoa?Ni mjasiriamali Mali, nina miaka 32, mwanazuoni miaka 6 iliyopita, sina mke and finally sina kids. Professional yangu ni businesses consultant, experience 3 years
Consultation ya nini, coz hata ya matikiti maji yawezekanaKua Business consultant sio Ujasiriamali?Au mpk watu wote wakalime Matikiti maji?
Marketing strategies mkuu.Si ungesema unatafuta mke mkuu,mbona ndio ingeeleweka zaidi.
Pichan mjanja ila threads zako za kutapeliwa tu na wadada
Napata shida sana, baada ya kujua mtoto siyo wangu
Hahaha!, Numbisa acha u spy! 😀
Consultation ya uuzaji matikitiMnabishania nn
Hapana sina, mie cyo kaa waleeenaamini mpaka sasa una ID mpya baada ya ku reveal hii.
[emoji13] [emoji8]Consultation ya uuzaji matikiti
Hahahahahaha hili ujue ni nenokwakweli kutabasamu inahitaji kozi ya muda mrefu,
Nitafute tufanye partnership babeConsultation ya uuzaji matikiti