Mambo zenu wadau?
Naombeni kufahamu kiundani jinsimradi wa zinduka malaria ulivyokuwa kwa upande wa Clouds.
Ni kampeni endelevu au iliisha ndani ya muda mfupi?
Kuna NGO au taasisi yoyote kubwa zaidi iliyoanzisha hiyo kampeni juu ya clouds?
Clouds walikuwa nani hasa katika kampeni hiyo?
Clouds walinufaikaje hasa?
Mawazo ya Sugu yalikuwa ni yapi hasa?
Ni kipi cluods walifanya tofauti na alivyowaza Sugu katika utekelezaji wa kampeni hiyo?
Kampeni ganinyingine kubwa mfano wa Zinduka zishawahi kufanyika kabla yake?