Ok sawa....!Asante sana Erickb52 na niko tayari kwa maswali.
Mimi nilijiunga na Jf tar 9 April 2012,
na nilijiunga baada ya kukutana na member ambae simfahamu ID yake mpaka leo.
Katika kupiga stori akaongelea kuhusu Jf.
Kiukweli nilivutiwa na nilipofika home nikamwambia dada Kijino aniunganishe.
Hvyo nikaingia rasmi humu dimbani.
Kilichonisukuma ni upendo nilionan kwa Jf kwa Ujumla.
Asante.
Ok sawa....!
Swali la 2:
Hebu nipe kwa kifupi historia kuhusu maisha yako ya shule, yaani ni changamoto gani ambazo ulikabiliana nazo na leo hii ukiangalia ulipotoka unajiona kama shujaa
Sawa...Kiukweli mimi nimesoma shule ya galz tupu,hvyo nadhani kuwehuka huku kunatokana na kufungiwa sana skonga na ticha.
Changamoto zipo nyingi tu.
Kwanza nilikuwa mchangamfu sana nadhani hyo nafasi bado ipo moyoni mpaka leo na ndio inanifanya niweze kuishi maisha yoyote na mtu yoyote.
Pia kuna hili swala la Utiifu,yani nilikuwa mtiifu kiasi ambacho nilipewa uongozi shuleni.
Vivyo hvyo changamoto hii imenisaidia mpaka leo kuwa na tabia ya kumjua mtu kiundani zaidi.
Kwa kweli namshukuru sana Mama Mshana,aliekuwa mkuu wetu wa shule.
Asante.
Sawa...
Swali la 3:
Je Ulifahamuje kuhusu tendo la kujamiiana? Yaani ni nani alikufundisha kwamba hiyo kitu downthere ina matumizi mengine mbali na yale ya kutabawali (Kujisaidia)?
Ok sawa..Leooo...
Ok asante,
unajua enzi za udogo usichana nilikuwa mtukutu na mdadisi sana.
Kulikuwa na kitabu flani cha hayo mambo nilikifumania kwenye makabati ya home.
Nakumbuka nilikuwa na 12yrs.
Nilikichukua nikawa naenda nacho shule ili tukaangalie na wenzangu.
Kumbe kuna baadhi yao walikuwa wanafahamu hayo makitu,hvyo tukawa tunafundishana kwa kugusanisha vikojoleo vyetu.
Hvyo tangu hapo nikafahamu kuwa hii dhakari yadumbukia hapa mbeleni.
Jamani na si kwamba nilianza nikiwa na umri huo,la hasha.
Msije sema bure.
Asante.
Ok sawa..
Hebu tuambie ulianza rasmi kula tamtam ukiwa shule kidato cha ngapi au ulikuwa darasa la ngapi na umri gani?
Ok sawa umejibu vema!Asante.
Nilianza kuujua utamu nikiwa Nafanya kazi tayari, mwaka 2007,
Na nilikuwa na miaka 21.
Ndo maanaaa....Leooo...
Ok asante,
unajua enzi za udogo usichana nilikuwa mtukutu na mdadisi sana.
Kulikuwa na kitabu flani cha hayo mambo nilikifumania kwenye makabati ya home.
Nakumbuka nilikuwa na 12yrs.
Nilikichukua nikawa naenda nacho shule ili tukaangalie na wenzangu.
Kumbe kuna baadhi yao walikuwa wanafahamu hayo makitu,hvyo tukawa tunafundishana kwa kugusanisha vikojoleo vyetu.
Hvyo tangu hapo nikafahamu kuwa hii dhakari yadumbukia hapa mbeleni.
Jamani na si kwamba nilianza nikiwa na umri huo,la hasha.
Msije sema bure.
Asante.
Hapana kbs.
Ndoa za leo haziko imara,
wanawake wenzangu wanatamaa sana.
Wanatamani wampate mume ambae tayari ana mali,
mali inabidi mtafute mkiwa ndani ya ndoa.
Tofauti na ndoa za zamani,zilikuwa zinadumu kutokana na kueahamiana tabia kwa muda mrefu.
Ila ndoa za siku hzi,
Mmekutana leo,kesho ndoa.
Ok sawa.....
Swali la 5:
Je umeolewa? Kama umeolewa, Je umeolewa na yule alokufundisha mautamu? Je una watoto? Wangapi? na kama hujaolewa, je unaye boy friend? Je ni mpya au yule yule?
Hapana sijaolewa,japo nina mtoto mmoja.
Na kuhusu Bf ninae na si yule alienitoa kizinda.
Huyu ni mpya kbs kwangu.
Lol.