marahaba! Ushafikiria kugombea hata uongozi kwenye vyama vya wanawake?
Kwa kweli sifikirii hata kidogo.
Vp umeona challenge gani kwangu?
una upeo mkubwa wa kujibu maswali ya papo kwa papo, no matter ni ya joking au ya kwel
Wanasema ukiongea na kusema saaana inakuwa kama wajitetea saaaaana.... kwa lipi sasa?.... sijaliona....aaahhh mie nakusalimu tu huby wangu, lol!
Hahahahahahaaaaa....
Mtoto halali na hela umenifanya nijisikie vizuri.
Unajua mara nyingi si watu wote watakusifia.
Nakushukuru kwa hilo.
Asante.
Asante mkuu.
Usiku mwema Mtoto halali na hela
Asante sana.
Msalimie wifi yangu.
sina nipo kwenye harakati za kusaka!
Afanaaaleki, kufa hakuna breki.
Waume za watu wanavyopenda tigo, ulisalimika kweli mrembo?
Najua utanijibu baadae, sina haraka kama cha kwanza.
Sawa.
Ila angalia usichague sana,usije pata koroma.
Chaguo njema.
Ukipata nijulishe.
sawa huenda nkampata huku huku.
Wapi ChitChat au Jf kwa ujumla?
jf kwa ujumla
Haya mafanikio mema.
Ila tambua humu sidhani kama utampata wa usahii,wengi ni wasanii.
Wanataka cheap life.
Na nachelea kusema kuwa unaweza usifanikishe malengo yako japo kwa 75%.
Ila nisiusemee moyo wako.
Haya mafanikio mema.
Ila tambua humu sidhani kama utampata wa usahii,wengi ni wasanii.
Wanataka cheap life.
Na nachelea kusema kuwa unaweza usifanikishe malengo yako japo kwa 75%.
Ila nisiusemee moyo wako.
afadhal umenidhihirishia usanii uliopo huku, ngoja nihamishie effort zangu huku kitaa. Coz ni rahsi kumsoma m2 na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana!