hapa ndipo unaponidhihirishia ushetani wako. Ukihamisha afanyeje tena maninilii??
Ndo mana yake.
Naomba niwe shoga wa mkeo.
Atapiga kichwa wavuni.
Amezidi kunifatilia.
Kama ameumaindi mzigo si asememe tu.
Haya Madame punguza jazba bhana usifaidishe umati msamehe tu.
Praktiko inafanyika wapi nije?
Umefika wapi?Afu we m'babu wewe.
Hii msg mwenyewe kaiona.
Utanipa hifadhi kwako nakwambia.
Umefika wapi?
Nakusubiri, afu kwa taarifa yako mi ni mtaalam wa kubembeleza. Nabembeleza mpaka natoa chozi wallah.
Najua utanipa tu.
Hehehehe.... kile yule mzembe alichoshindwa kukubembeleza meen!Kubwa au?