Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Hahahaaa hao watakuwa na matatizo yao binafsi.yan ung'ate mautamu lol!

Swali la 13:
Je umeshawahi kuombwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanaume, kama ulishawahi kuombwa, je ulijisikiaje? Na je ulifanya?

Unajua mara nyingi wanawake wenye maumbile makubwa ya nyuma huombwaga sana huo mchezo.
Mimi ni mmoja wao.
Nikiri kuwa niliombwa.
Ila nilitaka kujaribu,lol,
lakini nilichomoa kiaina.
Angenibembeleza....
 
Unajua mara nyingi wanawake wenye maumbile makubwa ya nyuma huombwaga sana huo mchezo.
Mimi ni mmoja wao.
Nikiri kuwa niliombwa.
Ila nilitaka kujaribu,lol,
lakini nilichomoa kiaina.
Angenibembeleza....

Asalaaale naona mwili wangu umesisimka ghafla na baadhi ya maeneo yanaanza kujinyoosha mweeee!
Hebu tuendelee na show!

Swali la 14:

Je, Ushawahi kushiriki mapenzi ya jinsia moja (Kusagana) ?
 
Unajua mara nyingi wanawake wenye maumbile makubwa ya nyuma huombwaga sana huo mchezo.
Mimi ni mmoja wao.
Nikiri kuwa niliombwa.
Ila nilitaka kujaribu,lol,
lakini nilichomoa kiaina.
Angenibembeleza....

Nilisema sitasoma majibu ya hili swali. Na sijasoma.

Ila mianaume mingine bana, yani haijui kubembeleza kabisaaa! Damn!
 
babu bwana unaharibu nonilino bwanaaa...

Dah! Samahani mkuu..

Ngoja nisepe nikazimu.

Bibi Madame B ukimaliza mahojiano ukuje pande ya fyatanga. Baadae mapacha watatu watakuwa hapo Nyamachabez... Ni furaha kwangu kujumuika na selebriti wa ChitChat wa leo kutumia hivi visenti vichache vilivyobaki kabla mkoloni hajanipa haki yangu ya utumishi wangu uliotukuka kwa mwezi wa November.
 
Last edited by a moderator:
babu bwana unaharibu nonilino bwanaaa...

Dah! Samahani mkuu..

Ngoja nisepe nikazimue.

Bibie Madame B ukimaliza mahojiano ukuje pande ya fyatanga. Baadae mapacha watatu watakuwa hapo Nyamachabez... Ni furaha kwangu kujumuika na selebriti wa ChitChat wa leo kutumia hivi visenti vichache vilivyobaki kabla mkoloni hajanipa haki yangu ya utumishi wangu uliotukuka kwa mwezi wa November.
 
Last edited by a moderator:

Unataka unilale,akhaa.
 
Last edited by a moderator:
Ok sawa....naamini majibu ni siri yako!

Swali la 16:
Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana katika maisha yako? Kwanini?

Tukio lililonihuzunisha ni pale nilipofiwa na mama yangu mzazi mwaka 2008,na kubaki na baba.
Na mwaka huu 2012 tena baba yangu mzazi ambae alibaki na sisi nae amefariki.
Kwa kweli haya matukio sitaweza kuyasahau mpaka naingia kaburini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…