Haaaaa..!!!
Tumemaliza interview ?
Afu wewe?
Sura nzito kama kwapa la beberu.
Pole sana Madame B kw akuondokewa na mama mzazi, ndo ya Mungu hayo.
Swali langu kwako, katika pita pita zaku humu JF ushawahi kumzimikia jamaa yoyote humu, u=yaani ukazimika kiukweli kabisa na ukatamani kuwa nae?
Subiri wewe!
sasa ni zamu ya wambea majibu yako yameacha maswalii, mie nipo tu kushuhudia mtanange, watakushambulia ka nini
lara 1, hebu njoo pande hizi kuna mtu kamwaga radhi huku khaaaaaa!!!!!!!!!!!
yah kiukweli nilishawahi
kiumzimikia member mmoja humu.
Naye nahisi alinipenda.
NIMTAJE.........!!!!!!!!!!!
Mamito Madame B hongera kwa intervw umejibu vyema,pole kwa kuwapoteza wazazi,mie sina swali nikukaribishe 2 kwenye party hme dogolas anakomunika leo so welcm mamito...
Unajifanya huna swali wakati umeniPM nimuulize pale alipoombwa tigo jamaa angebembeleza zaidi angetoa au asingetoa?
Unaogopa kumuuliza mwanamke mwenzio unanirushia mi mpira. Mwone vile.
Haya Madame B hebu mjibu mwanamke mwenzio. Ungetoa?
yah kiukweli nilishawahi
kiumzimikia member mmoja humu.
Naye nahisi alinipenda.
NIMTAJE.........!!!!!!!!!!!
Ni kitendo gani uliwah kukifanya just for love... Namaanisha crazy thing you did just for love..