Zinedine Zidane: La liga ni muhimu na ngumu kubeba kuliko UEFA

Zinedine Zidane: La liga ni muhimu na ngumu kubeba kuliko UEFA

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,437
Reaction score
1,883
Mwanahabari: mnapojiandaa kwa ajili ya elclassico huu msimu ligi ya nyumbani imekuwa na changamoto kuliko uefa hili unalizungumziaje wewe kama coach na mchezaji

Zidane: ni rahisi sana kubeba UCL kuliko kombe la ligi kwa sabbu hilo lahitaji consistency ya hali ya juu na kwangu hilo ni muhimu zaidi kuliko kombe la ucl

Kuna siku nilisema maneno hayohayo humu ndani nikaambiwa Mpira nimeujulia ukubwani sasa nashukuru nimepata zidane rafiki mwenzangu ambaye pia kaujulia Mpira ukubwani

Kauli hii aliwahi kuisema Patrik Kluivert , Pep Guadiola na Luis Figo,
FB_IMG_1525542412875.jpg
 
Maneno mengine unaweza kuyasema ikitegemea na nafasi uliyopo, ni rahisi kwake kusema hivyo ila ukienda upande wa barcelona watakujibu vice versa.
 
Kila mtu huomba kile asichokuwa nacho.

Yeye ana,uhakika na uefa ndio maana anasema hivyo kuhusu laliga.
 
Back
Top Bottom