jamani hiki ni kichwa cha kawaida ama jamaa alibeba mizimu ya ufaransa..kichwa kimdondoshe hivi loh!!we zidane pumzika kwa amani kwa style hii mmh ulipokuwa unaelekea ungeingia na kisu uwanjani
jamani hiki ni kichwa cha kawaida ama jamaa alibeba mizimu ya ufaransa..kichwa kimdondoshe hivi loh!!we zidane pumzika kwa amani kwa style hii mmh ulipokuwa unaelekea ungeingia na kisu uwanjani
Hapo hasira ilipanda kichwani,lakini tukiacha yote jamaa alikuwa bora na amechangia sana watu kuendelea kupenda soka japo nae "hakufunga goli 1000 na hakuchukua world cup mara 3"(jokes)
Aaah hiko kichwa mi ninakikubali mpaka kesho jamaa naye alizidi atatukana vipi mtu yupo kwenye mudi zake analeta za kuleta na akome na nahisi kila akiona hii picha anamkumbuka mshikaji uwanjani aah zizoo sumu anatisha.