Zingati vijana

Alex jairo

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Leo nimekuja na ujumbe vijana wenzangu nia yangu ni kuwapa uwelewa na kuwatoa ktk usingizi.

Natambua wengi wenu hamjui na hamtambui dunia hii inaongozwa kisiri., yaani ni siri ambayo iko wazi na mwenye upeo na agundue, yaani they hide things in a plain area -tunaongozwa sasa kama mbuzi kwenda kwenye zizi la New World Order na Anti-christ-(Freemason & Illuminati) bila ya sisi kujielewa tunakwenda kwenye Zizi hilo.

Cha kwanza hawa watu wamesambaza alama zao karibia kwenye kila nyanja si siasa,dini,michezo,buruduni,katuni za watoto na mpaka fashion.

Yako mengi mno Ila pointi yangu ya leo ni kwamba najua wengi mnajua kitu kinaitwa -Big brother Africa kinachofanyika kila mwaka South Africa na sio tu Afrika bali ni Dunia nzima.

Sasa kwa taarifa yenu Hii kitu ni EXPERIMENT inayofanywa na FREEMASON & ILLUMINATI na washiriki ni SUBJECT wanaofanyiwa hiyo EXPERIMENT bila wao kujitambua na mshindi akipokea mapesa .

Turudi kwanza kwenye LOGO ya BIG BROTHER AFRIA najua mnajua inawakilishwa na nini-inawakilishwa na JICHO moja na haijawahi badilishwa bali watabadilisha tu graphics na sio LOGO -why? -ile LOGO ni JICHO na lile JICHO linamaana ya- ALL SEENG EYE ikiwa na maana hii ni EXPERIMENT wanayoifanya toward NEW WORLD ORDER.Ikiwa na maana during New world order serikali itakua moja, dini moja, jeshi moja- na kiongozi wetu atakuwa ni nchi ya Marekani na ili watuongoze vizuri watatumia huo mfumo wa Big brother.

Ikiwa na maana tayari mifumo imekwishaanza kufanya kazi soon utasikia wanaanza kufunga cctv kamera mitaani,vifaa tunavyotumia kama smartphone ziko na kamera mbele na nyuma na zina uwezo wa kurecognize ur face- cha ajabu hata simu yangu naweza kuifunga na kuifungua kwa kuyumia sura yangu.

Zinakuja tv digital ziko na kamera na ziko na uwezo wa kuhunganishwa na internet.Hii ikiwa na maana kuwa once hawa Anti-christ au devil worshipers-wanaoabudu shetani (Freemason & illuminati) watakapo take over the world na hiyo New World order compaign they will controll us all easly na hutoweza kugoma kwani watajua ulipo kwa information zako ulizoweka kwenye social medial na kumbuka smartphone yako iko na uwezo wa kuonyesha location, gps na google map, soo watatumia huu mfumo wa Big Brother kututawala na kutuongoza na kama unayoyaona ktk experiment zao wanazozifanya kila mwaka kupitia Dstv na duniani kwa ujumla.

Ili kuamini ninayokwambia tafuta dola moja bill, yaani pesa ya kimarekani alafu tizama kwa makinibutaona kuna piramidi na juu ya pilamidi kuna jicho-all seeng eye- na kama haitoshi tafuta nembo au logo ya illuminati, na hayo maonyesho ya Big brother yanawakilishwa pia na hiyoo logo ya jicho.

Ni hayo tu kwa leo vijana wenzangu!

Be aware don't be a subject to an Experiment -By JR
 
Dah kaka umekwivaaaa..Umenifuunguaaaa macho viabayaa sanaaa....dah...
Tumekwishaaaa kwa kweli..Mungu atusaidiee
 
Big brother logo
 

Attachments

  • 1405630914238.jpg
    12.6 KB · Views: 178
Illuminati logo
 

Attachments

  • 1405630970059.jpg
    53.6 KB · Views: 166
Freemason logo
 

Attachments

  • 1405631047771.jpg
    25.3 KB · Views: 166
Hii dhana ya Freemason imegeuka mtaji unaotumiwa na wajanja kujipatia kipato... Manake nguvu inayotumika kuupinga ndiyo nguvu hiyo hiyo inatumika kuutangaza.

Tunadanganyana kuhusu kitu ambacho hakipo. Tufanye kazi ili tusonge mbele. Na tuache kuishi kwa nadharia.
 
yan huwa nachukia sana nikisikia mtu anazungumzia freemason sijui illuminati...aaaaaagh....haya umetupa hayo maelezo sasa unataka tufanyaje i mean what is the way foward?
 
hizi stori za mitaani tu....
kila kitu kinahusishwa na firimasoni...kwani firimasoni ni upuuzi gani basi.
ushenzi wa bigbrother ni ushetani bila ya ufirimasoni....
 
mtoa mada nimekusoma, nimekuelewa sana ila ni ngumu kwa mtu yeyote kukuelewa nakuomba kama upo deep utumie muda wako kuwaelewesha wadau kwan ni kwel hawaelewi, na Mungu akupe nguvu na moyo wa subira ujibu maswali yao ipasavyo ili shetani akose nafasi ya kutawala ulimwengu

Mungu akuongoze
 
Mpaka wafanikiwe hayo, sidhani kama nitakuwepo katika uso wa dunia, hivyo sina hofu nao na pia kwa nguvu zote nasema hawaniwezi
 
Freemason ni kitu kidogo sana ukimwamin Mungu...
Watu wanashindwa kusoma maandiko ya Mungu kiufasaha .,,wanafatilia Freemason cjui illuminate...the more unapofatia hiv vitu the more vinakutalawa..
My take;tuchunguze maandiko ya Mungu na sio maandiko ya Freemason na illuminat..
MUNGU BARIKI VIJANA


LET LOVE LEAD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…