Zingatia haya ewe MWANAUUME mwenzangu 2022

Zingatia haya ewe MWANAUUME mwenzangu 2022

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
Habari za mwaka mpya

Ukishakua jamiiforums basi elewa kwamba umezungukwa na marafiki wengi sana tofauti tofauti ni jambo la kujivunia kwa hakika

Kijana mwanauume embu kuwa na uwezo ambao Mungu amekujaalia jaribu kuutumia ipasavyo

embu fuata mfano wa vidole katika maisha fanya vidole vya mkono viwe ktk Nyanja ya mahusiano alafu vidole vya mkono viwe Nyanja ya utafutaji


Tunapokuja katika mahusiano sasa, mkono hauwezi fanya kazi ipasavyo kama hauna vidole vyote vilivyo imara , mwanaume unatakiwa angalauu kwa kiwango cha chini uwe na wanawake wasiopungua tano nikimaanisha mkono mmoja unaweza fanya jambo ila bado utakua hujakamilika, kwa iyo utaongeza wengine tano ili utimie kumi

NA hio ndo ratio nzuri kwa mwanaume 1:5-10maximum, Fuata huu ushauri utakuja kunishukuru baadae, hutateswa na mapenzi utasahau maumivu yote pia utakua umetimiza haja y wengi ambao pengine wangekufa wapweke,

ikizingatiwa idadi y wanawake ni kubwa kuliko wanaume duniani

Sio kila siku ni kulia lia tuu mtoto wa kiume eti unalia kuachwa kuchetiwa, mapenzi yakishafika mwisho yamefika mwisho mwenzio akishakuambia imetosha basi kusanya vlivyo vyako angalia mambo mengine

mambo ya kubembeleza miezi na miezi ni kupoteza muda na hadhi yako kama mwanauume,

mwanamke akishakuacha mbembeleze mara moja tu akigoma usirudie tenaa maana utakua unampa sababu za kutokukurudia pengine ndo utampoteza kabisaaa


Aya turudi ktk vidole vya mguu vidole vya mguu vinakukumbusha mwanauume Inakupasa uwe na vyanzo vya mapato visivyopungua tano angalau viwe kumi,

utakua ba vyanzo kadha wa kadha kikubwa kidogo hadi kidgo kabisa kumaanisha unasimama vyema na kutembea hata kukimbia sasa ukiwa na chanzo kimoja yani kama kidole kimoja utapata tabu tuu maana utakielemea utachoka mpema

Unatakiwa uwe na Pesa na wanawake wa kutosha Embu tujaribu kufuata nyayo za Mfalme Suleiman
 
Ona sasa! Haya yote yamesababishwa na Ndugai. Ilikuwaje akaomba msamaha wa kipuuzi kiasi kile? "Nimekosa mimi....., nimekosa mimi...., Nimekosa sana!"

Huu mwaka nahisi utakuwa mgumu sana kwa sisi wanaume.
 
Ona sasa! Haya yote yamesababishwa na Ndugai. Ilikuwaje akaomba msamaha wa kipuuzi kiasi kile? "Nimekosa mimi....., nimekosa mimi...., Nimekosa sana!"

Huu mwaka nahisi utakuwa mgumu sana kwa sisi wanaume.
Tangu nizaliwe sijawahi kuona aina ile ya kuomba msamaha, kwa ufupi wanaume tuchukue tahadhari kubwa tumeaibishwa mno.
 
Hivi Kati ya miimili mikuu mitatu ya mama yetu Tanzania kuna mmoja uko juu ya mingine?
 
Hahah...kwa hiyo tuanze mpango wa kuwa na wachuchu kwa idadi ya vidole sio!

Weka basi na mpango wa kuwatunza wachuchu wote hao...
anataka mfie kwejye vinena huyu sio bure....
 
Back
Top Bottom