stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Ukishawaza tu namna hii tayari ni tatizoIkiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo
1 Kujipenda
2 Kujithamini
3 Kujipa kipaumbele
4 Kutoifikiria sana juu ya kesho
5 Kuachana na yaliyopita
6 Kufurahia yaliyopo
7 Kukubali kuwa sio kila mtu atakupenda
Ukubali kuchapiwa kupo any time....Ikiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo
1 Kujipenda
2 Kujithamini
3 Kujipa kipaumbele
4 Kutoifikiria sana juu ya kesho
5 Kuachana na yaliyopita
6 Kufurahia yaliyopo
7 Kukubali kuwa sio kila mtu atakupenda
Ikiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo
1 Kujipenda
2 Kujithamini
3 Kujipa kipaumbele
4 Kutoifikiria sana juu ya kesho
5 Kuachana na yaliyopita
6 Kufurahia yaliyopo
7 Kukubali kuwa sio kila mtu atakupenda
Kuna... ukweli kiasiUsioe
This one should've been number on his list8. Kutojifananisha hali yako ya maisha na ya mwingine
Sahihi kbsa mkuuUsiepuke majukumu
Usiepuke presha
Usiepuke kuteseka kama kuna baadhi ya vitu unastahili kuvifanya ili kesho yako iwe bora.. Maana ipo siku utalipia, ni kama kuepuka kuhaso ujanani, uzeeni unaweza kuhadhirika
Kingine huruma na ukarimu visizidi uwezo. Binadamu hawana kumbukumbu
Sio ubahili ama uchoyo ila Kaubinafsi kidogo sio mbaya. Ni self care maana usipokuwa mbinafsi kila mtu atakutumia
Mzee wa kupotosha kwenye moja na mbili😂Usisahau kunywa pombe kwa wingi
I was looking for this comment 😂Uwe na pesa pia
Kuna... ukweli kiasi