Zingatia Haya Ili Uwe Na Afya Bora

Zingatia Haya Ili Uwe Na Afya Bora

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
ZINGATIA HAYA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU ILI UWE MZIMA KIAFYA NA MAISHA MAREFU.

1 Usile chakula bila ratiba


2 usinywe maji baada tu ya kula(kunywa maji nusu saa kabla na baada ya kula)


3 usile chakula kingi(kula kiasi utaishi kwa raha)


4 usinywe maji mengi baada ya kula ni rahisi kupata kichomi


5 usinywe maji mengi wakati mmoja utapata maumivu katika figo


6 usiache kunywa maji utajiletea matatizo ya figo na kibofu pia kichwa kitakuuma


7 usilale na jasho au bila kuoga japo mara 1 kutwa utaugua fangas na miwasho ya hovyo

8 usishirikiane mavazi nirahisi kupata fangasi kwa njia hiyo

9 usile harakaharaka


10 usile vyakula vigumu usiku (utaota ndoto mbaya)


11 usile vyakula visivyohalali yako(utazaa watoto wenye tabia chafu)


12 usitembee hovyo usiku kuna mengi


13 usilale hovyo(usingizi mwingi ni wito wa ufukara)


14 usikae bila kuangalia unapokaa


15 wala usivae bila kuangalia(kukikung'uta) unachokivaa (wengi hung'atwa na wadudu kwa haraka zao)


16 usipende kuangalia tupu yako(utapatwa na majini subiani)


17 usikae Upweke Sehemu usiku Saa 6.


HUU NI USHAURI WANGU WA TIBA MBADALA .

Ukiwa na swali Lolote waweza kunitafuta Kwakubonyeza hapa.
Mawasiliano
 
Mmmmhh.....hapo juu mambo mengine kweli ni ya kisayansi ila mengine ni ya kishirikina( No 11 & 16).
 
Mmmmhh.....hapo juu mambo mengine kweli ni ya kisayansi ila mengine ni ya kishirikina( No 11 & 16).
Hakuna kitu cha kishirikian ndio maana nikasema kuwa Huu ni Ushauri wangu mstari wa 11 na 16 ni kiimani sio kishirikiana ikiwa wewe ni Muislam Fuatilia haya Maelezo kwa makini kabisa Mstari wa 11 ukienda kuiba nje kisha ukapata Pesa za haramu ukamnunulia mkeo nguo mpya akaivaa hiyo

nguo usiku ukafanya nae mapenzi akashika mimba basi yule mtoto atakaye zaliwa atakuwa ni mtoto wa haramu. Kwakile kitendo cha wewe kuiaba pesa za haramu nje na kumuletea mkeo na kufanya nae mapenzi na Mkeo akashika mimba basi hapo huyo mtoto

atakaye zaliwa atakuwa na tabia mbaya za wizi mtoto asiye sikia mkaidi jambazi vitendo vyake atakurithi wewe baba yake. ukiweza jaribu kufanya uchunguzi wa maneno yangu utaona faida yake. Mstari wa 16 Ukiwa upo peke yako unapenda

kujichungulia uchi wako basi utapatwa na shetani mbaya kwani Mashetani hupenda wale wanawake au wanaumme

wanaopenda kujichungulia uchi wao wewe ukiweza jaribu kufanya uchunguzi utakuja siku kuniambia maneno yangu ni ya ukweli mtupu kiimani sio Ki-Sayansi. Sio Kishirikina Mkuu kizaizai Jaribu kisha uje unipe Feedback
 
Back
Top Bottom