JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Baada ya majanga makubwa ya asili kama tetemeko la ardhi au misiba ya watu wanaofahamika, matapeli hutumia nafasi hiyo kujiingizia kipato
Wanaanzisha tovuti na akaunti bandia za michango, na kisha hutengeneza barua pepe ya zenye kuweza kuibua hisia za watu ili kupata fedha ambazo haziwafikii waathirika.
Ikiwa unahitaji kuchangia hakiki tovuti zozote za michango na uhakikishe kuwa zinahusiana na maswala wanayodai kuwakilisha.
Usichangie kwenye tovuti zozote ambazo zinaonekana kutiliwa shaka. Msaada wowote wa kweli utakuwa na wavuti thabiti na taarifa yake kamili.
Upvote
0