Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Habari ndugu zangu nawasalimu sana.
Bawasiri ni tatizo linalowasumbua watu wengi na wengi wetu tunauchukulia kama ugonjwa wa aibu kutokana na eneo lenyewe linalo athirika.
1. Bawasiri ni matokeo ya kuathirika kwa mfumo wa chakula
2. Mmengenyo wa chakula unapokuwa mbaya na ivyo kinyesi katika utumbo mkubwa kinakua kigumu na kinasafiri kwa shida hivyo nguvu kubwa hutumika kukisukuma hadi kuchangia mishipa ya damu Veins kuvimba na hata kusababisha inflamation na uvimbe na pengine hata damu kutoka au kupata uvimbe.
3.Ule uvimbe au vinyama ni mkusanyiko wa mishipa ya damu veins kutokana na nguvu kubwa ya kusukuma haja kubwa.
ZINGATIA HILI
1. Dawa za kupaka eneo husika ni kupigwa linaweza punguza maumivu lakini hutapata uponyaji wa kutibu maana sio chanzo cha tatizo.
2. Dawa za kuingiza sehemu ya haja kubwa au kupaka hazisaidii kukuponya bali zitatuliza maumivu kwa saa chache.
USIFANYE HAYA
1. Usile vyakula vya mafuta mengi
2. Acha kula chips kabisa
3. Acha kula pilau kabisa na vyakula vyenye viungo vingi
4. Acha kabisa kula wali na jamii zake utanishukuru.
5. Kahawa na vinywaji vya caffein tupa mbali visiguse kabisa mdomo wako.
TIBA HALISI
1. Badili mfumo wako wa ulaji
2. Kula dona na mboga za majani za kutosha
3. Dona iliyochanganywa na muhogo na mboga nyingi na samaki ni nzuri
4. Kula matunda na kama ni juice isiwe imeongezwa sukari
5. Kunywa maji ya kutosha.
6. Narudia zingatia sana mboga za majani kama mchicha, tembele na cabbege kwa wingi iwe ni kawaida yako kila siku.
7. Unaweza meza paracetamol kwa ajili ya maumivu tuu awali.
8. Usiibiwe zaidiii CHANGE YOUR EATING HABIT NA IWE YA KUDUMU NDUGU YANGU.
UTANISHUKURU SIKU MOJA na utaokoa fedha zako nyingi.