Dogo ana miaka 22, kamaliza form 6 mwaka jana, hata chuo hakwenda. Hivi juz 2kiwa kwenye kambi mmoja ambalo liko mbali kidogo na wasichana kwa muda wa miezi ka 5 chali alitutamkia nia yake LIVE kuwa anataka kuoa, hapo hapo anataka kwenda chuo!
Sasa mi najiuliza ni ki2 gani hasa kilimtuma kusema maneno yale.
Mbarikiwe wana carpet.