Zingatia mfumo wa (LSD) unapobuni Biashara

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Huu ni muendelezo wa uzi huu ↓↓

Mambo unayohitaji kufanikisha ndoto yako kiuchumi - JamiiForums
Humo nilielezea vitu vitatu Dream, Goal na Plan na vipi unaviendea tuliishia kwenye PLAN(Hustle) nilieleza Hustle(Plan) ndio njia unayoibuni ku-rise Mtaji wako hivyo inabidi ubuni kitu kinachokupa pesa nyingi kwa muda mchache na hakunaga kitu kitacho kupa pesa nyingi kwa muda mchache bali utavyofanya hicho kitu ndio utavyopata pesa nyingi kwa muda mchche tunauta FAST LANE, LSD ndio mfumo ambao inabidi uulishe kwenye PLAN yako ili upate pesa.

LSD
L- Lower Cost Of Production
S- Sell In Big Volume
D- Diversify Selling

Kwenye ule uzi tulisema tunataka kuanza na Lengo (Goal) linalohutitaji 7 Million Plan/Hustle/Mkakati gani unaweza fanya kupata 7 Million, Kitu utachobuni unahikikisha unakilisha kwenye Mfumo wa LSD kitakubali.

Mfano unahitaji 7-10 Million ufuge kuku na mfukoni una 50,000/= una apply vipi LSD kama njia ya haraka kupata 7-10M ↓↓

U-FLESH (tuuze u-flesh)

1)LOWER PRODUCTION (L)
U-flesh bidhaa za viwandani uzalishi wewe ni ngumu kuounguza gharama za uzalishaji, njia pekee ya kuounguza gharama za uzalishaji kwenye bidhaa ya aina hii ni kuounguziwa bei sehemu unaponunua kwasababu unanua Dozen nyingi, ila hii kwa U-Flesh ngumu ungekuwa bidhaa kama nguo ukinunua balo nyingi wanapunguza bei...So kwenye U-flesh hii stage not applicable.

2)SELL IN BIG VOLUME (S)
Big Volume Selling ndio njia ya kampuni zote kubwa mfano harisi Azam Ukwaju, kampuni yoyote kubwa lazima uize in Big Volume.

Kuna njia tatu unzoweza kuuza bidhaa yako in Big volume
*kuuza kwa bei ya chini
*kulifata soko lilipo
*kutangaza sana bidhaa

U-Flesh tunaweza Apply njia mbili
_Njia ya kwanza ‘kuuza kwa bei ya chini’ hii ishafanyika automatically maana U-Flesh ni juisi za bei rahisi (TZS 200).

_Njia ya pili ‘kulifata Soko lilipo’..soko la U-flesh ni watoto, sehemu ambapo watoto wapo wengi shule ya msingi, shule ya msingi ndio sehemu pekee watoto zaidi ya 1000+ wanyakusanyana sehemu moja, So ukitaka uuze U-Flesh in Big Volume nenda shule ya msingi ↓↓

Idadi ya watoto 1000 ukiuza U-Flesh 300 tu, kila U-Flesh moja faida kama unapata TZS 50 maanake unapata faida ya 15,000 TZS.

15,000 Tzs unaipata kwasababu umeuza kwa idadi kubwa, na umeuza kwa idadi kubwa kwasababu umelifata Soko na bei ni rahis sana.

3)Diversify Selling (D)
Ukishaona umefanikiwa kwenye kuuza kwa idadi kubwa kinchofata jigawe (igawe huduma) vile utavyotaka wewe × 2, × 4, × 6 hata × 10 chamsingi ujue target ya pesa unayotaka kupata kwaaiku au Je unaweza ku-manage kujigawa.

Diversification maanake, pale juu kwenye shule unaingiza faida ya 15000 TZS, unatafuta shule nyengine mfano 5 unawaweka vijana wawe wabakuuzia asubui wanachukua mzigo kwako tu ao kazi yako ni kuuza tu:-
*Wewe unauza Makumbusho Pri
*Mwengine Mbuyuni Pri
*Mwengine Tandika Pri
*Mwengine Mgurani Pri
*Mwengine Ubungo Pri
*Mwengine Mikicheni Pri

Hapa kwashule moja kama unapata 15000 TZS maanayake Shule 6 ukitoa 4000 TZS ya muuzani unapata faida ya 70,000 TZS.

Maanake
*15000 Tz umepata kwakuuza Big Volume
*70,000 Tz baada ya Diversification

70,000 sawa na Million 2 kwa mwezi, kama unajua Savingi maanake ndani ya mwaka mmoja unapata 20 Million ambayo ×2 ya Target yako.

Unapobuni biashara yoyote hakiki LSD ina-feet kwa asilimia ngapi, kuna bidhaa zina-feet kwa asilimia 100.

Biashara ya kawaida ambayo mtu anaifanya kimazoea na anapata faida ya 20,000/= kwasiku akiingiza katika mfumo wa LSD na ika-feet 100% unaweza akaingiza 200,000/= ambayo × 10 yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa elimu unatongezea maalifa wafanya biashara
 
Ulichoandika ni kizuri and applicable but when it comes to u fresh ukionja vile viddude vinavyoitwa juice hutarudia Tena kuvinywa na vimepigwa marufuku kwa Sasa!
Very low quality product.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…