GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka.
Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida sehemu Kuu Mbili 1. Goti la Kulia na 2. Katika Kifundo chake cha Mguu wa Kushoto hivyo wakiwa nae Uwanjani wampande hapo ili Kumtuliza lakini yenyewe haisikii na badala yake inamchekea tu huku kila Siku akiwafunga na akiwatambia.
Ana bahati mno tu, ila angenikoma!!