GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Juma Nyoso hawezi kwani ana Upuuzi na Utoto mwingi ila Mtu niliyekuwa namtegemea ni Kelvin Yondan 'Cotton' ila nae Siku hizi Bange anazovuta zimemfanya awe Bwege mno na Kutojiamini.Ukimvunja mchezaji mguu unakaa nje mechi 3 tu.
Yeye ndiye atakayekaa nje miezi 6 akiuguza majeruhi.
Juma nyoso yuko wapi?
Mayele alizulumiwa kiatu chake cha ufungaji bora msimu ulioisha sasa anataka kuwaonyesha kwamba abahatishi kama wakina boko anakitaka kiatu chakeNatamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka.
Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida sehemu Kuu Mbili 1. Goti la Kulia na 2. Katika Kifundo chake cha Mguu wa Kushoto hivyo wakiwa nae Uwanjani wampande hapo ili Kumtuliza lakini yenyewe haisikii na badala yake inamchekea tu huku kila Siku akiwafunga na akiwatambia.
Ana bahati mno tu, ila angenikoma!!
Wanaosema Dawa zako zimeisha wapo sahihi, FIFA wana benders yao ya Fair play, ila kwa elimu yako ya Chuo cha Kata huwezi kuelewa maana ya hii bendera ya Fair play.Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka.
Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida sehemu Kuu Mbili 1. Goti la Kulia na 2. Katika Kifundo chake cha Mguu wa Kushoto hivyo wakiwa nae Uwanjani wampande hapo ili Kumtuliza lakini yenyewe haisikii na badala yake inamchekea tu huku kila Siku akiwafunga na akiwatambia.
Ana bahati mno tu, ila angenikoma!!
Uko Simba si ndio kichaka cha drugs dealers?Bangi imepigwa marufuku hali bado iko hivi
Lembua ndiyo Kiswahili gani hiki?Ushakula unga wa sembe, sasa una lembua tu.
Nakukabili kwa jinsi Unavyokuja sawa?Dah! Mbona unacatch feelings na ni wewe umeanzisha uzi mkuu, shida ya nini jameni.
Hata 'aliyekuzaa' nae ni Popoma ( Pang'ang'a ) vile vile.Uko Simba si ndio kichaka cha drugs dealers?
Sasa hivi bangi zinatengezewa biskuti, gani mtu anatafuna biskuti za bangi anashushia na Coca madhara yake ndio kama ya huyu popoma.
Nini Kuombewa Kuumizwa vibaya ikiwezekana hata Kuondoka Mazima anaweza akaombewa vile vile sawa?Ni kosa sana kumuombea mchezaji avunjwe mguu kisa anafunga magoli!!huu ni mpira na Raha ni kuwaona hata wale usiowapenda Mayele yupo sana