Naomba kujua aina za document za kimahesabu ambazo mfanyabiashara anatakiwa kuziandaa kwa ajili ya kuwakilisha TRA wakati wa kuendesha biashara zake? Nashukuru kwa kuwa mtanipa mwongozo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.